Jeremiah 29:12-13

12 aKisha mtaniita, na mtakuja na kuniomba, nami nitawasikiliza. 13 bMtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote.
Copyright information for SwhKC